Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru.
Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ??
Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora...
Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale
Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi kananigasigasi hapa pajani. Nikaamua kukavuta. Cha ajabu nikawa nashangaa hakana mwisho, vile kameisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.