Mwishoni mwa mwaka jana, baadhi ya bidhaa, hasa zile zinazotumika kupika vitu mbalimbali, zilikuwa na bei ya chini. Hata hivyo, mwanzoni mwa mwaka huu hadi mwezi wa tatu, bei ya bidhaa hizi zilikuwa zimepanda sana.
Naamini hasira nyingi za Wakenya zinaelekea kwenye mswada wa marekebisho ya...