Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale
Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi kananigasigasi hapa pajani. Nikaamua kukavuta. Cha ajabu nikawa nashangaa hakana mwisho, vile kameisha...