Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, zimempongeza rais wa Tanzania, Rais Mama Samia Suluhu Hassan, sio tuu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali pia kwa kuwa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mwanamke...