Tarehe 17 October 1917, maelfu ya watu takriban watu 70,000, walishuhudia jua likifanya kitu kisicho cha kawaida,
waliweza kuliangalia kwa takriban dakika 15 bila kuumia macho,
waliokua wanaliona walisema lilikua linatoa mwanga kwa rangi tofauti tofauti, pia lilionekana kama linazunguka,
huku...