Habari zenu wakuu,
Leo nataka tujifunze yaliyotokea wakati wa kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake hadi pale alipotokewa na malaika na kujulishwa kuhusu kumzaa Yesu.
SURA YA 1
1 Uzazi wa Mariamu 7 Yoakimu baba yake na Ana mama yake wanakwenda Yerusalemu kwenye sikukuu ya kuweka wakfu...