biko

  1. S

    Utesaji aliofanyiwa Steve Biko na Jeshi la Polisi la Makaburu hadi kumuua ndio huo huo aliofanyiwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi Tanzania

    Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na...
  2. Pastory Kimaryo

    Michezo ya kubahatisha kama biko na tatu mzuka mmiliki wao ni nani na inafanyaje kazi?

    Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hii michezo ya kubahatisha wamiliki ni akina nani manake imeibuka kuwa mingi sasa. Na pesa wanayokusanya inaweza kuwa nyingi hivi au kawaida? Pia huwa inaendeshwaje kwa maana ya kuchagua namba na mambo mengine.
  3. AKILI TATU

    Hatimaye nimecheza biko leo

    Kama kichwa kisemavyo, leo nimeamua kujaribu kuwachangia watu wa biko Tsh buku. So hapa nangoja, kama si nyumba hizo zinazotolewa nos, naweza kushinda milioni kadhaa. Naomba mniombee ili nifanikiwe. Nikishinda nitaleta mrejesho hapa, na kama ni waongo Pia nitaleta mrejesho
  4. kalagabaho

    Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

    Mengi yamesemwa eti ooh mbona washindi wa BIKO hawaonyeshi mshtuko wanapoambiwa wameshinda mamilioni!!.. Sasa leo ngoma imepata mchezaji baada ya mkazi wa mbagala "kuamua" kuzimia alipoambiwa na kajala pale ITV kuwa ameshinda mil 20! Mkazi huyo alipoulizwa na kajala eti umezimia? Akajibu...
Back
Top Bottom