Habari!
Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mkasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Kumtunza sawa, lakini ametunzwa vipi huku hana bikra huku wengine wamezaa kabisa?
Ile bikra ndio itolewe mahari, bikra ndio thamani...
Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,
Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.