Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake?
Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!,
Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa...
Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
Wakuu,
Sarakasi za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaendelea huko Mbeya mambo yameanza kuchanganya!
Zoezi la upigaji kura katika kata ya Ubaruku limesitishwa kwa maelezo kutoka kwa Mkurugenzi. Hadi kufikia saa tatu asubuhi, hakuna taarifa rasmi au maelezo ya kina yaliyotolewa kuhusu sababu ya...
Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway).
Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
Anonymous
Thread
bilabilataarifa
elimu
elimu ya watu wazima
mfululizo
miezi
miezi miwili
mradi
sequip
taarifa
taasisi
watu wazima
wazima
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
DAWASA mna shida gani maji hayatoki maeneo mengi ya Dar es Salaam na mmekaa kimya tu hamsemi shida ni nini wala hamjatupa angalizo kuwa mnakata maji
Ni takribani wiki sasa maji hayatoki maeneo ya Masaki bila taarifa yoyote. Tunaomba mseme shida ni nini
Sio Masaki tu sehemu nyingi kama vile...
Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo
1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho,
2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka.
Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa.
Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA kwamba ma kampuni ya simu yaruhusu luamisha bando naona vodacom wameamia kukaidi na kuondoa hii...
Kwanza kwanini mkate Maji eneo la Kawe? Hivi hamjui kabisa kuwa Kawe wanakaa akina nani? Mnataka Kazi au hamtaki?
Watendaji wa DAWASA kwa sasa naumalizia Usingizi wangu ila nikiamka Saa 2 Kamili naomba nikute Mabomba yote ya Kawe yanatiririsha Maji vinginevyo nitakuja hapo Ofisini Kwenu na...
ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika...
Hawa jamaa wa NCARD sometimes Yes sometimes No!
Wapo kianalog analogi sana!
Mwanzoni January walinifyeka 10000 bila kutumia chochote. Nikapiga customer care wakaahidi kushughulikia lakini holaa!
Juzi tena nimeweka elfu hamsini nayo wakalamba kimya kimya bila kutumia! Taarifa nimewapa lakini...
Nikiwa kama kichwa cha familia, nyumbani kwangu ni sheria zangu, na linapokuja swala la sheria kwa wageni huwa zimekazwa mno kwa wageni wa kiume ambao ni miaka 28+ maaana hawa tayari ni wanauume na asili yetu ni kupambana ili kujitegemea......changamoto za kimaisha na harakati za kiupambanaji...
Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku utoaji wa mipira ya kondomu bila makubaliano iliyowasilishwakatika muswada ulioitwa "stealthing".
Sheri ampya inaongeza kipengele katika ufafanuzi wa sheria ya jimbo hilo kuhusu ngono na hivyo kuifanya California kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.