BILALI REHANI WAIKELA (1932 – 2022)
Maneno hayo hapo chini yapo katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes:
‘’Napenda kutoa shukrani maalum kwa Bilal Rehani Waikela, muungwana wa Kimanyema na Muislamu wa kweli.
Waikela akiwa na umri wa miaka 25 mwaka 1955, alikuwa mmoja wa waasisi wa TANU...