Moja kati ya hoja zilizomfanya Mke wa Marehemu bilionea Msuya ashinde kesi ya mauaji ya wifi yake ni upande wa mashtaka kuwa na pungufu ya kushindwa kufuata kanuni za kumhoji mshtakiwa pia na kukosa ushahidi wa dhahiri wa watuhumiwa hao kuwepo eneo la tukio au karibu na eneo la tukio.
Ushahidi...
Historia fupi juu ya Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya, Kuuawa kwa Dada yake, Kukamatwa kwa Mke wake hadi Kuachiwa kwake
Agosti 7, 2013 Saa 7 Mchana ya Jumatano, taarifa mbaya za mauaji zinaanza kusambaa Jijini Arusha zikieleza kuwa Mfanyabiashara Maarufu na Mmiliki wa Migodi ya Madini ya...
Kawaida, tena on the spot, judgment zinazotolewa na HC and CoA zinawekwa kwenye website ya TANZLII. Such a sensitive judgment one would expect to be posted as soon as possible!
Tuwekeeni tuchambue reasoning ya Judge maana sasa inaruhusiwa kusema lolote kuhusu shauri hilo na Judgement hiyo.
Hii ndiyo misemo unayoweza kuikumbuka dhidi ya ushindi wa mke wa bilionea!
1. Anaye cheka mwishoni hucheka sana
2. Tamaa mbele mauti nyuma
3. Mchuma janga hula na nduguze
4. Heri kumwagwa kuliko kumiminwa
5. Haiwi imekwisha hadi iishe
6. Ghafula bin vuu
7. Ukitaka kuruka agana na nyonga
8. Leo...
Ndugu wa Marehem bilionea Msuya akilia mahakamani baada ya washtakiwa wa mauaji ya Aneth Msuya kuachia huru na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam leo Februari 23.
Pia soma:
Mke wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haikumkuta na hatia
Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi...
Hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, ya mjane wa bilionea wa madini, Bilionea Msuya, Miriam Steven kusomwa leo.
Miriam pamoja na mshtakiwa mwenzake, Revocatus Everist Muyella, maarufu kama Ray, wanakabiriwa na shtaka la mauaji ya kukusudia, wanadaiwa kumuua kwa kumchinja, Aneth Elisaria...
[Kampuni ya uuzaji magari ya CMC Automobiles Limited imeieleza Mahakama kuwa gari aina ya Ford Rangers yenye namba za usajili T307 CBH, inayohusishwa katika kesi ya mauaji ya Aneth Elisaria Msuya iko kwenye gereji yake tangu Mei 9, 2016.
Maelezo hayo yametolewa na Meneja Utawala na Matengenezo...
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya, Miriam Mrita, ameingia katika hatua ya pili ya utetezi wake katika kesi ya mauaji ya wifi yake inayomkabili yeye na mwenzake, ya kuhojiwa maswali ya dodoso.
Bilionea Msuya aliuawa kwa...
Dar es Salaam. Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; Miriam Steven Mrita, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa hakuhusika na mauaji ya wifi yake kwani hata sababu inayotolewa si ya kweli.
Miriam alitoa...
Mjane wa Bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (45) ameieleza Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, jinsi alivyoshiriki katika mgao wa mali za mume wake kwenda kwa ndugu wa Erasto Msuya.
Amedai mgawanyo wa mali za marehemu mume wake, Erasto Msuya ulifanyika Februari 2014, ambapo baba na mama wa...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa mke wa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kwa jina la Bilionea Msuya, Miriam Mrita, anayetuhumiwa kumuua wifi yake, Aneth.
Mbali na Mrita mshtakiwa mwingine aliyekutwa na kesi ya kujibu...
Dar es Salaam. Mkulima kutoka Songea mkoani Ruvuma, Sophia Amir Shemzigo, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa alikuwa mmoja wa watu walioshiriki katika gwaride la utambuzi wa mshtakiwa wa kwanza, Miriam Steve Mrita katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya.
Mkulima huyo alieleza...
Dar es Salaam. Shahidi wa 16 katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara tajiri maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; ameyakana maelezo yanayodaiwa aliyaandika kuhusiana na kesi hiyo.
Shahidi huyo, Askari...
Dar es Salaam. Kisu kinachodaiwa kutumika katika mauaji ya Aneth Msuya, mdogo wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, kimewasilishwa mahakamani na kupokewa na mahakama kama sehemu ya vielelezo vya upande wa mashtaka katika kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.