Na Ferdinand Shayo, Manyara
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi iliyopo mjini Babati Mkoani Manyara imedhamini timu ya mpira wa miguu inayoshiriki ligi kuu ya soka tanzania bara ya Fountain Gate kupitia kinywaji chake kipya cha Tanzanite Royal Gin ambapo timu...