Kampuni ya Virgin Galactic inayofanya safari za Utalii wa eneo la Juu la Anga (Space), itafanya safari Juni 29 na August 2023. Hadi sasa kuna abiria 800 wamenunua Tiketi kwa Tsh. Milioni 481.8 kwa mtu mmoja.
Kutokana na mahitaji kuwa makubwa, kampuni imelazimika kupandisha bei hadi Tsh...