Kampuni hiyo ya Mawasiliano ilipanga kukusanya Tsh. Trilioni 1.06 katika mwaka ulioisha March 2022 lakini kutokana na athari za Tozo imepoteza 9.8% ya mapato na kukusanya Tsh. Bilioni 956 ambayo ni pungufu ya matarajio.
Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema tozo hizo...