BILIONI 11 ZIMETENGWA UJENZI SHULE 10 ZA MICHEZO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Musa Sima imepokea na kujadili taarifa kuhusu maendeleo ya Sekta ya Michezo ikiwemo ujenzi wa Shule 56 za michezo nchi nzima, ambapo umeanza na Shule 10...
Udhamini wa manji yanga unaleta maswal mengi sana. Na maswal yanakuja zaidi kwa kuwa wote wamekataa kufikiri wamemwachia manji na akilimali tu.
Manji yeye ni kila kitu. Kwa lolote analotaka linakuwa.akisema flan asiwe mwanachama ghafla mtu huyo anapoteza uanachama. Manji anapofika kwenye kikao...
Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani.
1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7
2. Chopard – 201 carats -...
Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia.
Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni...
Takribani shilingi bilioni 11 zimewekezwa katika Shirika la Taifa (NSSF)kuhamasisha ukuwaji wa sekta ya biashara katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki na Benki ya Maendeleo (TDB).
Uwekezaji huo unalenga kupanua wigo wa benki na kuongeza upatikanaji wa fedha kwa wanachama wake ambao...
Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15.
Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.