BILIONI 11 ZIMETENGWA UJENZI SHULE 10 ZA MICHEZO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Musa Sima imepokea na kujadili taarifa kuhusu maendeleo ya Sekta ya Michezo ikiwemo ujenzi wa Shule 56 za michezo nchi nzima, ambapo umeanza na Shule 10...