Kampuni ya DP World, ilikabiliwa na tuhuma za kukwepa kodi kutokana na upunguzaji wa thamani wa pauni milioni 80 (244,497,600,000TZS) kwa ardhi iliyo nunuliwa kwa ajili ya bandari kubwa kwenye Mto Thames huko Uingereza. Eneo hilo, linalojulikana kama London Gateway, lilinunuliwa kutoka kwa...