Katika pitapita humu nakutana na thread nzuri sana ila ilikosa wachangiaji wa kutosha..
Tuzungumze kiuhalisia umejikuta una kiasi cha Bilioni kadhaa kama 3 ama 4..utakifanyia nini kikuletee mapato zaidi kwa miaka mingi mbele katika upande wa uwekezaji katika biashara
Kuna mwamba alitoa ushaur...
Super bilionea toka Mombasa, Imran Kholsa, ameendelea kuthibitisha kuwa pesa kwake si tatizo, akigeuza harusi ya mtoto wake kuwa tukio la mwaka
Ni baada ya kutenga kiasi cha dola 1,350,000 (sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 3) kwajili ya Diamond Platnumz na Nandy kutoa burudani kwenye...
Serikali imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 3 kurasimisha makazi ya wananchi katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Katika kukamilisha zoezi hilo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhakikisha...
Wakuu
Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake.
Wanadai...
Mwenge wa Uhuru Wilayani Ngara umetembelea na kuzindua Mradi wa Maji Wenye Thamani ya shilingi Bilioni tatu chini ya Ufadhilii wa Benki ya Dunia kupitia LADP (Local Area Development Program) inayosimamiwa na NELSAP (Nile Equatorial Lake Subsidiary Action Program).
Mhandisi Simon Ndyamukama...
Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kushughulikia Barabara zilizoathiriwa na mafuriko/Mvua za El-Nino kwa mkoa wa Njombe.
Fedha hizo zimetumika kuhakikisha kuwa miundombinu yote ya Barabara...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu.
Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
Nimesoma hapa JF kuhusu NHC kununua eneo la urafiki kwa njia ya Mnada kwa Shilingi Bilioni 3, nikahisi labda wamekosea au walimanisha Dola Bilioni 3, nilipoenda kwenye kurasa rasmi za NHC nikakutana na taarifa ileile.
Taarifa ya Ununuzi - NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo...
Kwenye mazungumzo yaliyofanyika club house Dr. Slaa amesema kwa utaratibu anaoufahamu Rais hana mafungu makubwa kiasi hicho (milioni 150) kwaajili ya eneo moja, na fedha hizi zinawekwa katika kifungu cha Ofisi ya Rais na balaa ni kwamba fedha hizi hazikaguliki kwasababu fungu la 23 la Ikulu...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
Rais Yoweri K. Museveni amesema Bajeti hiyo itakuwa ikitengwa kila mwaka ikiwa na lengo la ili kukuza ubunifu wa Kiteknolojia nchini humo pamoja na kuwapa motisha Wabunifu wanaoingia kwenye Soko la Teknolojia.
Kwa upande wake Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu Dk Monica Musenero...
Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki.
Pato la taifa ni Dola bilioni 500+ sawa na shilingi zetu trilioni 1,250, Naomba nieleweke kwamba kiasi hiki hakihusisiani na chochote...
Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera
Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya nchini Uingereza wenye thamani ya Th. 3 bilioni.
Katika...
SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kuwatumia wawekezaji wa ndani kutengeneza jezi za mpira wa miguu wa timu...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika
"Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji"
Cecilia Abena Dapaah aliamini anafanya uamuzi sahihi wa kwenda Polisi kuripoti kuibiwa kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake lakini kibao kikageuka na kushikiliwa kwa kumiliki kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinahusishwa na rushwa.
Inaelezwa ameibiwa Dola Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.4), Euro...
Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili...
Mfanyabiashara Amos Lusekelo na mwenzake Mohamed Mbonde wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kuisababishia hasara Shirika la Umeme (Tanesco) ya Sh2.3 bilioni.
Lusekelo ambaye ni mkazi wa Sinza na Mbonde, wamefikishwa mahakamani hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.