Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili...