Natuma kwa niaba ya ndugu yangu
Mimi mkazi wa Ponde kata ya Toangoma wilaya ya Temeke, naomba kutoa malalamiko kwa viongozi wetu kuna Bilionea muhindi anaitwa KURBAN AHMED KHAKI, anatunyang’anya viwanja vyetu kwa nguvu na kuanza kujenga kwa kigezo wananchi walitakiwa kumlipa 10% ya thamani ya...
Kwa mujibu wa orodha ya 'Bloomberg Billionaires Index' imemtaja Bilionea Johann Rupert kutoka Afrika Kusini kuwa Mwanaume tajiri zaidi barani Afrika
Rupert anamiliki Kampuni kubwa duniani ya bidhaa za kifahari Richemont inayomiliki 'brand' kama Cartier na Montblanc
Utajiri wake umeongezeka...
Kuna watu wenye hela zao Sema tu hujakutana nao wapo huko duniani Wanasubiri marafiki wawape pesa fikiria fikiria hela ziko hewani ni wewe kuzidownload tu tafuta rafiki mzuri mwenye idea maana kila kitu kinaanzia kwenye idea.
Anaitwa truong my Lan umri ni miaka 67 Tajiri wa ki Vietnam amepatikana na hatua ya kutakatisha hela kwenye Bank moja kubwa Kwa zaidi ya miaka 11.ila nimeshindwa kujua hasa alifanya fraud kivipi Kwa maana hiyo hela aliichukua kama mikopo. Kesi hio Ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba ilihusisha...
katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa la Kenya,dokta Ruto ameomekana kufurahishwa na kitendo cha kutekwa kwa billionaire wa Kenya mwenye...
Habarini wanajukwaa.
Kwa namna hali ilivyo katika nchi yetu imekua ni changamoto Sana kwa mtu kuanza "from Zero to Hero" Jambo linalofanya watu wengi wanao hustle kuamini kuwa mazingira si rafiki kwa wao kufanikiwa yaani kuwa self-made Billionaires ukiwatoa wale talented people ambao kwao...
Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM.
Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.
Mzuka wanajamvi!
Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi.
Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport Atlanta Georgia mda mfupi baada ya kupaaa.
The plane 'was taking off, went straight up, and it took a...
Inakuwaje wanajamvi!
Strive Masiyiwa ametangazwa kuwa billionaire wa kwanza mweusi Uingereza. Ana asili ya Zimbabwe na kujishughulisha na biashara ya Telecom.
Masiyiwa pia ni mjumbe wa bodi wa Netflix na Uniliver.
Ana mkono wa kutoa sana kwa Africa. Na amejihusisha sana kugawa chanjo za Covid...
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi.
Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane?
Eti mnaita huyo...
Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini.
=====
Bill and Melinda Gates have announced their divorce after 27 years of marriage, saying "we no longer believe we...
Inakuwaje wanajamvi!
Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure.
Jamaa anatakiwa kununua na kumiliki haya magari si jeep.
Anatakiwa kumiliki Laferrari Aperta...
Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili.
Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
Nimesoma habari hiyo kutoka katika ukurasa wa ripota wa billionea huyo, Millard Ayo.
Kwa kuwa JF ni kisima cha watu makini, hebu tujaribu kuelezana nini hasa inaweza kuwa sababu ya yeye kuuwawa?
=======
Watu wasiojulikana wamemuua Manace William Lemoringeti, mlinzi wa mgodi wa Bilionea...
Kwamba mawe ya dhahabu, almasi, Tanzanite yaliyoko ardhini yana utajiri ambao hakuna nchi yoyote ya Ulaya wala Marekani inaweza kufikia thamani take.
Rutuba ya ardhi iliyoko. Tanzania ni zaidi ya majengo yote yaliyoko Ulaya na Marekani.
Samaki tulionao kwenye maziwa na bahari utajiri wake ni...
Leo May 2, 2020 mwaka umetimia tangu Bilionea Reginal Mengi afariki.Mengi yamesemwa kumhusu Dr. MENGI lakini nimejiuliza maswali Je tunamkumbukaje?? Mengi alikua mtu wa aina gani hasa?
Baada ya kifo chake nchi inamkumbuka na kumkosa? Je katika janga hili la Corona Mengi angefanya nini kwa...
Tanzanian Tycoon Rostam Aziz Sells Last Tranche Of Vodacom Shares For $220 Million
Tajiri Kongwe nchini Tanzania Rostam Aziz, Hatimaye amemalizia Ngwe ya Mwisho ya Mauzo fungu la mwisho la Hisa zake za Vodacom Tanzania kwa kuwauzia Vodacom South Africa.
Kwa Mujibu wa report kutoka Citizen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.