Ndinga jipya la msanii Billnass (Land Rover Defender) limezidi kuwa kivutio kwenye mitaa mbalimbali Jijini Dar es salaam,mapema leo hii alionekana nalo mitaa ya TAZARA na kuvutia wengi hususani mashabiki wake.
Baada ya Rapa na mfanyabiashara, Billnass kumzawadia mke wake, Nandy, gari la kifahari siku ya kuzaliwa kwake, sasa ni zamu ya mtoto wao kupata zawadi ya gari. Kupitia mtandao wa Snapchat, Billnass alionesha zawadi ya gari aina ya Alphard aliyomzawadia mtoto wake baada ya kufikia kuhitimu...
Wakuu
Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023
Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao
Nandy amemwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi
Kikao cha kusikiliza rufaa ya Wasanii Mastaa nchini Whozu, Billnass na Mbosso kimefikia maamuzi ya kuwataka Wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa nchini kwa kufuata maadili ya Kitanzania.
Maamuzi hayo yamefikiwa kwenye kikao chini ya uongozi wa Waziri wa Utamaduni...
Wengi wenu hapa JamiiForums bahati mbaya miaka hiyo ya mwishoni ya 90 bado mlikuwa katika Zipu za Baba zenu ila kwa Wakongwe tulikuwepo na mpaka hii leo sijaona bado Harusi ya Kuizidi hiyo.
Ilikuwa ni Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia ( Tajiri wa Kihistoria Tanzania ) na Binti yake Mzee Mramba (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.