billnass

  1. Darassa akerwa na tabia ya Billnass na G Nako, awachana kwa roho zao za kukunja

    Rapa Darassa amekerwa na tabia ya Billnass na G Nako kumuita studio na kurekodi nae kisha nyimbo hazito, awachana kwa roho zao za kukunja.
  2. Gari mpya ya Billnass aina ya Defender yatikisa jiji la Dar Es Salaam mchana kweupe!

    Ndinga jipya la msanii Billnass (Land Rover Defender) limezidi kuwa kivutio kwenye mitaa mbalimbali Jijini Dar es salaam,mapema leo hii alionekana nalo mitaa ya TAZARA na kuvutia wengi hususani mashabiki wake.
  3. Billnass amzawadia mtoto wake Naya, gari aina ya Alphard, aahidi kumpa gari la kifahari 'Escalade'

    Baada ya Rapa na mfanyabiashara, Billnass kumzawadia mke wake, Nandy, gari la kifahari siku ya kuzaliwa kwake, sasa ni zamu ya mtoto wao kupata zawadi ya gari. Kupitia mtandao wa Snapchat, Billnass alionesha zawadi ya gari aina ya Alphard aliyomzawadia mtoto wake baada ya kufikia kuhitimu...
  4. Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia ujumbe mzito mumewe

    Wakuu Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023 Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao Nandy amemwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi
  5. Whozu, Mbosso na Bill Nass wafutiwa adhabu ya kufungiwa, watalipa faini tu

    Kikao cha kusikiliza rufaa ya Wasanii Mastaa nchini Whozu, Billnass na Mbosso kimefikia maamuzi ya kuwataka Wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa nchini kwa kufuata maadili ya Kitanzania. Maamuzi hayo yamefikiwa kwenye kikao chini ya uongozi wa Waziri wa Utamaduni...
  6. M

    Mmejitahidi sana kuipamba na kuinogesha harusi ya leo, ila hata haijafikia 25% ya iliyokuwa Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia

    Wengi wenu hapa JamiiForums bahati mbaya miaka hiyo ya mwishoni ya 90 bado mlikuwa katika Zipu za Baba zenu ila kwa Wakongwe tulikuwepo na mpaka hii leo sijaona bado Harusi ya Kuizidi hiyo. Ilikuwa ni Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia ( Tajiri wa Kihistoria Tanzania ) na Binti yake Mzee Mramba (...
  7. F

    NSSF fao la kujitoa hawalipi wanachama. Ila wanatumia Hela za wanachama wao kwenye harusi ya Nandy na Billnass

    Kweli dunia haipo fair Watu hawana ajira wakienda kudai mafao yao wananyimwa hela hakuna Ila harusi za wasanii zinamwagiwa mahela kibao na NSSF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…