Wakuu heshima yenu
Nataka kumkatia mke wangu bima ya NHIF,naomba anaejua utaratibu na gharama zake anijuze,hasa hizi ambazo wanasema ni reviewed
Nafanya hivyo kwa sababu ni mjamzito,lakini pia namna ya kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya ambazo ni wazi atazihitaji sana siku za mbeleni...
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo.
Hatua hii ni inatokana na Serikali kupitia Wizara ha Afya kuendelea na mazungumzo na...
Hospitali ya TIBA (zamanı TUMAINI) iliopo Upanga jirani na Diamond Jubilee haichukui wagonjwa wanaotumia bima ya NHIF wiki moja sasa.
Wagonjwa wanarudishwa nyumbani na wengine wanaambiwa walipe cash. Waliokuwa hawana huduma zimesitishwa.
Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu tunaomba waingilie kati...
Anonymous
Thread
bimanhif
hospitali kukataa wagonjwa wa nhif
hospitali ya tiba
Pharmaceutical Society of Tanzania (PST) ni chama cha kitaaluma, kwa taaluma ya famasi nchini. Baadhi ya
malengo yake ni kuboresha na kukuza ubora wa huduma na shughuli za dawa, kuweka ushawishi sahihi na wenye maslahi/faida kwa watanzania katika masuala ya afya.
Tunashukuru Wizara ya Afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.