bima nhif

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mke mjamzito, nataka kukata bima NHIF ushauri

    Wakuu heshima yenu Nataka kumkatia mke wangu bima ya NHIF,naomba anaejua utaratibu na gharama zake anijuze,hasa hizi ambazo wanasema ni reviewed Nafanya hivyo kwa sababu ni mjamzito,lakini pia namna ya kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya ambazo ni wazi atazihitaji sana siku za mbeleni...
  2. NHIF yasema huduma zitaendelea kutolewa Hospitali ya Aga Khan hadi itakapotangazwa tofauti

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo. Hatua hii ni inatokana na Serikali kupitia Wizara ha Afya kuendelea na mazungumzo na...
  3. A

    KERO Hospitali ya TIBA (zamani Tumaini) iliyopo Upanga haihudumii wagonjwa wa NHIF

    Hospitali ya TIBA (zamanı TUMAINI) iliopo Upanga jirani na Diamond Jubilee haichukui wagonjwa wanaotumia bima ya NHIF wiki moja sasa. Wagonjwa wanarudishwa nyumbani na wengine wanaambiwa walipe cash. Waliokuwa hawana huduma zimesitishwa. Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu tunaomba waingilie kati...
  4. Utaratibu wa kukata bima NHIF kwa wasio waajiriwa ukoje? Gharama zake za kila mwezi ni zipi?

    Wakuu, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shilingi ngap kuchangia kila mwezi?
  5. Chama cha Wafamasia Tanzania (PST) chataka Matumizi ya kitita cha NHIF yasitishwe, chashauri viwepo vitita tofauti kwa Serikali na Private

    Pharmaceutical Society of Tanzania (PST) ni chama cha kitaaluma, kwa taaluma ya famasi nchini. Baadhi ya malengo yake ni kuboresha na kukuza ubora wa huduma na shughuli za dawa, kuweka ushawishi sahihi na wenye maslahi/faida kwa watanzania katika masuala ya afya. Tunashukuru Wizara ya Afya...
  6. Wapiganapo fahari wawili nyasi ndizo huumia

    Wapiganapo fahari wawili, nyasi ndizo huumia! Nini maoni yako juu ya picha hii mdau?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…