Kwema Wakuu!
Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi.
Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia Kiwanda cha Kusindika Tumbaku na Kuzalisha Sigara cha Serengeti kitaweka Tozo katika mauzo yake ili Fedha inayopatikana isaidie katika huduma za Afya
Rais amesema hayo baada ya kuelezwa na Mwekezaji wa Kiwanda kuwa 5% ya Tumbaku inayozalishwa hapo...
Juzi nimejaribu kujaza taarifa za wazazi ili waweze kupata bima ya afya lakini nilirudishwa kwa sababu zifuatazo:
Majina ya mama anatumia majina ya baba baada ya kufunga Ndoa.
Majina ya Baba yalikosewa NIDA badala ya kuitwa SAMWEL likandikwa SAMUEL.
NHIF wamesau hata kuwa bima ya afya ni...
Wananchi 3,149 wa kijiji cha Mundindi kilichopo Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wametengeneza historia ya kipekee baada ya Serikali ya kijiji hicho kuwakatia bima ya afya wanakijiji wote ili waweze kupata huduma ya afya bila kikwazo cha fedha.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kulipa fidia...
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto, upandikizaji mimba, matibabu ya saratani kwa mionzi, na nyinginezo. Maendeleo haya yanachangiwa na...
Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya.
Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.