bima ya afya kwa wote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

    Kwema Wakuu! Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi. Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea...
  2. Rais Samia: Viwanda vya Sigara viweke tozo kwaajili ya kusaidia Bima ya Afya kwa wote ili Wanaougua watibiwe

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia Kiwanda cha Kusindika Tumbaku na Kuzalisha Sigara cha Serengeti kitaweka Tozo katika mauzo yake ili Fedha inayopatikana isaidie katika huduma za Afya Rais amesema hayo baada ya kuelezwa na Mwekezaji wa Kiwanda kuwa 5% ya Tumbaku inayozalishwa hapo...
  3. L

    KERO NHIF wanapaswa kujua sio kila mtegemezi anafanana majina sawa na mchangiaji hasa upande wa wazazi

    Juzi nimejaribu kujaza taarifa za wazazi ili waweze kupata bima ya afya lakini nilirudishwa kwa sababu zifuatazo: Majina ya mama anatumia majina ya baba baada ya kufunga Ndoa. Majina ya Baba yalikosewa NIDA badala ya kuitwa SAMWEL likandikwa SAMUEL. NHIF wamesau hata kuwa bima ya afya ni...
  4. Kijiji cha Mundindi Wilaya ya Ludewa chawakatia Bima ya Afya wakazi wake wote

    Wananchi 3,149 wa kijiji cha Mundindi kilichopo Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wametengeneza historia ya kipekee baada ya Serikali ya kijiji hicho kuwakatia bima ya afya wanakijiji wote ili waweze kupata huduma ya afya bila kikwazo cha fedha. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kulipa fidia...
  5. C

    SoC04 Huduma za Matibabu ya Kibingwa na Ubingwa Bobezi Nchini Tanzania: Faida, Changamoto na Mbinu za Kupata Matokeo Chanya

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto, upandikizaji mimba, matibabu ya saratani kwa mionzi, na nyinginezo. Maendeleo haya yanachangiwa na...
  6. A

    Lengo kuu la Bima ya Afya kwa Wote inayopendekezwa ni kwa Serikali kukusanya mapato zaidi

    Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya. Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…