bima ya nhif

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Bima ya afya ya daktari NHIF (regular) haiwezi kulipia/ku-cover baadhi ya huduma za matibabu kama fast tract n.k wanazopata wagonjwa anaowahudumia

    Nilitegemea bima ya afya ya daktari imuwezeshe kupata huduma zote za matibabu na kwa haraka fast track,na vvp. 1)Kwa kuwa daktari anahudumia wagonjwa kama viongozi wa kisiasa n.k ambao wao BIMA ZAO zina wawezesha kupatiwa matibabu ambayo bima ya daktari mwenyewe anayewahudumia haiwezi...
  2. Roving Journalist

    Madai ya Chuo Kikuu cha Iringa kutojali afya za Wanafunzi, uongozi wasema kuanzia mwakani Wanafunzi watalipa Bima moja kwa moja NHIF

    Daada ya andiko la member wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Iringa, hawajali suala la afya za wanafunzi kupitia andiko hili - Chuo Kikuu cha Iringa hakijali afya za Wanafunzi, tumelipia mwezi nne sasa hakuna huduma ya Bima majibu yametolewa na uongozi wa chuo. Prof...
Back
Top Bottom