Zanzibar: Bima kwa wageni watalii US$44 kuanza 1 September 2024
Dk. Saada Mkuya Salum
WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Saada Mkuya Salum amesema uwepo wa bima ya wasafiri kutaongeza kasi ya idadi ya watalii kufika Zanzibar na serikali kupata mapato...