Yaani hii ishu ya mtu kafariki unaletewa daftari nyumbani au mtaani au unatengenezwa mkeka wa michango ya rambirambi ni wa nchini mwetu tu au pia nchi nyingine kufutana machozi kwa njia ya pesa kupo?
Kumekuwa na wizi wa pesa zinazokusanywa kwenye Shule za Sekondari, Tsh. 50,400/-. Wakuu wa shule wamekuwa wakikusanya pesa hizo lakini hawawapatii bima Wanafunzi hadi wanamaliza masomo yao hasa wale wa Advance (Kidato cha 5&6). Hili lipo haswa kwenye Shule ya BUGENE SEKONDARI iliyopo Mkoa wa...
Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom.
So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli.
Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo.
Hatua hii ni inatokana na Serikali kupitia Wizara ha Afya kuendelea na mazungumzo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.