Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?
Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao...
Serikali ya Ufaransa imemuamuru Omar bin Laden, mtoto wa kiongozi aliyeuawa wa Al Qaeda Osama bin Laden, kuondoka nchini humo kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii.
Waziri mpya wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bruno Retailleau, ameandika kwenye mtandao wa X kwamba mtoto huyo wa...
Historia ya Osama bin Laden ni moja ya vyanzo vikubwa vya utata na machungu katika historia ya kimataifa, hasa kutokana na kiongozi huyo kuwa mwanzilishi na kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda. Hapa ni muhtasari wa historia ndefu ya Osama bin Laden na matukio muhimu duniani yanayohusiana...
Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha?
Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya.
======
Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
Trump kupitia twitter amesambaza video yenye ujumbe huo ambayo imepingwa sana na watu.
Wewe unaonaje?
===
Trump-supporting Navy SEAL fumes after the president pushes fake news about Osama bin Laden killing
President Donald J. Trump signs an Executive Order on Protecting American Monuments...
Kitabu cha Rais wa zamani wa Marekani kitakuwa mitaani siku chache baada ya uchaguzi wa Novemba 3, kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Penguin Random House mchapishaji wa kitabu hicho, iliyotolewa siku ya Alhamisi.
Kitabu hicho chenye kurasa 768 kilichopewa jina "A Promised Land" ama Nchi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.