binadamu wote sawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    Binadamu wote ni huru ni sawa ukikutana na ubaguzi usikae kimya, tumia njia hizi kuripoti ubaguzi huo

    Ibara ya 12(1 )ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa, pinga ubaguzi. Ubaguzi kwa msingi wa haki za binadamu ni tendo la kutendea mtu au kundi la watu kwa njia isiyo ya haki kwa misingi ya tofauti zao, kama vile rangi, jinsia, dini, kabila...
Back
Top Bottom