Bila shaka mu wazima na mnaendelea na majukumu.
Moja kwa moja niende kwenye mada,naomba kufahamishwa kuhusu binance.
Kwanza binance ni nini?
Inafanyaje kazi?
Faida zake?
Hasara kama zipo.
Nimeingia mjini X (twitter)nimeona kuna mdau kauliza ni app gani za kutengeneza pesa ulizonazo kwenye simu...