Wakuu,
Kutokana na majibu ya uchunguzi wa kesi ya binti aliyelawitiwa na kubakwa kikatili kutolewa leo ni wazi kabsa kwamba hapa hakuna kesi wala hakuna atakaye fungwa kwa kesi hii
Wanaweza kutolewa wahuni mahabusu wakafunikwa na vitenge vichwani tukaambiwa ndo hawa tumewakamata
Inaumiza sana...
Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.
Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa...
Madeleka amendika katika ukurasa wake wa x;
Nataka nimwambie Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ikiwa ndani ya SAA 24 kuanzia sasa, ATASHINDWA kuwapeleka MAHAKAMANI hao MASHETANI, kwa KISINGIZIO CHOCHOTE KILE, mimi PETER MADELEKA, nitafanya WAJIBU huo kwa FEDHA ZANGU. Hatuwezi kuwa taifa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.