binti aliyelawitiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

    Wakuu, Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba! Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
  2. J

    RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

    Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na binti aliyelawitiwa, RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta kesi ya jinai kwa sababu mshtaki ni Jamhuri Jumaa Mubarak 😀 ===== Mwandishi: Mtuhumiwa alikuwa amehiari kwa hiari yake kuachana na kesi hii Jeshi la...
Back
Top Bottom