binti kubakwa na wanaume 5

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Kina Nyundo wakutwa na Kesi ya Kujibu (Sakata la Binti wa Yombo)

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeamua kuwa washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya ubakaji wa kundi na ulawiti dhidi ya Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam, wana kesi ya kujibu. Uamuzi huo ulitolewa Jumatatu, Septemba 23, 2024, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Zabibu Mpangule...
  2. Manyanza

    Yanayosemwa kuhusiana na Askari huyu yana ukweli?

    Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana...
  3. J

    Chalamila afunguka binti aliyedhalilishwa na waliotumwa na afande

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kitendo alichofanyiwa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo, ni kinyume cha sheria na maadili ya Mtanzania. Amesema binti huyo kwa sasa yupo kwenye mikono salama ndani ya moja ya vituo vya mkoa wake, akipata elimu ya unasihi itakayomsaidia...
  4. jerryempire

    Polisi toeni elimu kwa raia suala la kulawitiwa binti wa Yombo

    Habari. Leo ni siku ya tatu toka toka nipate taarifa juu ya sakata la msichana ambaye kimuonekano hata miaka 20 bado hajafikisha mkazi wa Yombo Dovya. Nikiwa kama raia na mtumiaji mkubwa wa mitandao nimebahatika kuona habari zake kupitia maandishi na picha kwani mpaka sasa sijabahatika kuiona...
  5. feyzal

    Imekuwa serious sasa, ishu ya dada aliyebakwa imefika hadi BBC Swahili

    Nipo naangalia Star TV hapa dira ya dunia BBC swahili. Habari ya binti aliyebakwa imeshasambaa sasa hadi nje ya mipaka ya Tanzania. Jeshi litoe tamko kuhusu sakata hili. PIA SOMA - Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
  6. sifi leo

    Tukio la binti kutendewa ukatili na wanaodaiwa kuwa ni askari, linanikumbusha kifo tatanishi cha mtoto wangu. Hatua zichukuliwe, binti apate haki yake

    Mimi ni MZAZI, Mimi ni mlezi, Mimi ni mhanga mkubwa wa ukatili unaoendelea dhidi ya watoto wa kike. Nina hakika kupitia hapa wasomaji wa Jamii forums mtakumbuka kisa kimoja nilikileta hapa nacho si kingine ni kile Cha kufiwa na mwanangu aliye kuwa mwanafunzi wa kidato Cha Tano shule ya...
  7. J

    Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

    Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi...
Back
Top Bottom