ISAYA Yunge, kijana Mtanzania mwenye asili ya jamii ya Wasukuma, ameingia katika hatua mpya ya maisha baada ya kutambulishwa kama mchumba wa Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya, William Ruto.
Uhusiano huo umefahamika zaidi baada ya hafla ya uchumba iliyofanyika nchini Kenya Agosti 8, ambapo...