binti wa yombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

    Wakuu, Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba! Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
  2. Yanayosemwa kuhusiana na Askari huyu yana ukweli?

    Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana...
  3. Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

    Jeshi la Polisi ningependa kutoa taarifa ya uchunguzi wa tukio ambalo lilisambazwa katika mitandao ya kijamii kupitia picha mjongeo (video clip) kuanzia Agosti 2, 2024 ikimwonyesha binti mmoja akifanyiwa vitendo vya ukatili. Uchunguzi uliofanyika hadi sasa umefanikisha kumpata binti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…