Habari za wakati huu wakuu, natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni hivi kuna binti mmoja hivi nilifahamiana naye kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku, yeye ni mtu wa dini sana yani kwenda kanisani kwake Jumatano, Ijumaa na Jumapili zote hakosi na kiumri...