Za asubuhi wanaJF.
Leo ikiwa ni Jumanne tulivu, wanaJF wakitokea kwenye weekend ndefu kuanzia Jumamosi.
Ninaanza kwa swali kama kichwa kinavyosema, Je unaifahamu CANVA?
Share designs uliyotengeneza kwa kutumia hii software ya CANVA.
Natumai kwa wale wote ambao hawaifahamu ni mwanzo mzuri wa...