Huyu ni Rais wa 6 Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar na kuunda nchi mpya Tanzania.
Marais 5 waliopita wote walizaliwa na huyu wa Sasa alivyozaliwa. Lakini hatujawahi kuona sherehe za kuzaliwa kiongozi zinageuzwa sherehe za kitaifa.
Naziita za kitaifa Kwa sababu zimepangwa kimikoa Kila...
Ndio hivyo..!😎
Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma katika Shule ya Msingi Sabasaba iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na kuhimiza wazazi...
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!
Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya...
Wakuu,
Sijaelewa hapa, huko Chamwino ndio mpaka wanafunzi nae wameingizwa kwenye zoezi hilo la kumtakia heri Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa. Hii inakuaje mpaka kukatisha ratiba ya siku ya wanafunzi?
====
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Janeth Mayanja leo Januari 27, 2025...
Wakuu,
CCM ndio mko deparate kiasi hiki?:BearLaugh::BearLaugh: Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki:BearLaugh::KEKWlaugh::pepeLaughers:
Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ...
Wakuu,
Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache?
=====
Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, wamesheherekea siku ya kuzaliwa ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.