Habari, nauza nyumba na Mimi ndio mhusika,ipo Tanga mjini,Kange Area block D.
Nyumba ina vyumba vitatu, viwili ni self contained na cha 3 ni master bedroom,ina varandq(sitting kubwa) dinning na kitchen.
Niliweka magrili na wiring baada ya ujenzi,ujenzi ulizingatia uimara kwa kuweka msingi wa...