bluu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Polisi wa Hamas katika rangi ya bluu warudi mitaa yenye vifusi kote Gaza kulinda amani

    Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hali hiyo inatokana na kurudi kwa polisi wa Hamas wakiwa wamevalia sare zao...
  2. S

    Mkakati wa Blue Ocean (Bahari ya Bluu): Shindana Upya, Fungua Soko Mpya

    Blue Ocean Strategy ni nini? Blue Ocean Strategy (Mkakati wa Bahari ya Bluu), ulioanzishwa na W. Chan Kim na Renée Mauborgne, ni mbinu ya ubunifu wa biashara na ukuaji. Badala ya kushindana kwenye masoko yaliyojaa (red oceans), mkakati huu unalenga kuunda masoko mapya yasiyo na ushindani (blue...
  3. Eli Cohen

    Mnaosema Waisrael waliopo sio halisia na ni wazungu wenye macho ya bluu, sasa mlitegemea mlipowafukuza huko walipokimbilia wazaliane na mawe au?

    Leo hii Israel ina: 50% Middle Eastern Jews. Hawa ni wale ambao walikuwa wametapatapa katika nchi za mashariki ya kati na wachache sana walikuwa wamebaki Israel wakiishi kwa kubaguliwa. Hatimae walirudi nyumbani baada ya kuzaliwa upya kwa taifa la Israel 1948 na pia wengine walirudi Israel...
  4. afrixa

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika uchumi wa bluu

    Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1:Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari. 2:Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile mbuga...
  5. Felix Mwakyembe

    Uchumi wa Bluu ni dhana pana

    Rais wa Zanzibar, Hussein Ali Hassan Mwinyi alipoibeba ajenda ya uchumi wa buluu kwenye kampeni zake za mwaka 2020 kule visiwani na baada ya kukaa madarakani, wengi hatukumelewa. Tukimshangaa kuona kakomalia shughuli moja tu, nayo ni uvuvi na kidogo kilimo cha mwani Dhana ya Uchumi wa Buluu...
  6. Shining Light

    Mwanga wa Bluu kutoka Simu na Taa za LED za Ofisi Unaweza Kuwa 'Sumu', Wasema Wanasayansi

    Utafiti uligundua kwamba kufichuliwa kwa muda mrefu kwa mwanga mkali wa 'bluu' unaotolewa na simu za mkononi na taa za ofisi zenye taa za LED kunaweza kuwa 'sumu'. Kuwashwa kwa mwili na mwanga wa speshi ya bluu kwa muda wote kunaweza kuvuruga kazi za kawaida za mwili na kusababisha kutokuwa...
  7. PLAN B VERYFIED

    FIFA na kadi ya Bluu

    FIFA wanapanga kufanya majaribio ya kadi ya bluu kwenye soka ambapo mchezaji atakayeoneshwa kadi hiyo atatolewa uwanjani na kukaa nje muda wa dakika 10. kadi ya bluu itatolewa kwa mcheza atakayecheza faulo ya kijinga au kupinga maamuzi ya mwamuzi.
  8. A

    Paundwe Wizara ya Uchumi wa Bluu (Ministry of Blue Economy)

    Tuna Bahari ya Hindi toka Tanga hadi Mtwara na Maziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa ni kwann mpaka Sasa hatuna wizara/Waziri wa Blue Economy? Ili tuwekeze na kufaidi rasilimali kwenye vyanzo tajwa? Zanzibar tayari wanafaidika na Uchumi wa bluu.
  9. M

    SoC03 Maboresho yenye tija

    Ni muhimu kwa Tanzania kuendelea kufanya marekebisho ya sera na sheria zake za usimamizi wa rasilimali ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika matumizi ya rasilimali za umma. Katika usimamizi mzuri wa rasilimali serikali unatakiwa kufanya yafuatayo. Serikali inapaswa kuweka mifumo...
  10. JanguKamaJangu

    Tiki ya bluu Instagram, Facebook kupatikana kwa kulipa

    Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
  11. BARD AI

    Elon Musk atangaza ujio wa 'Badge' za Dhahabu, Kijivu na Bluu kwenye akaunti za Twitter

    Bilionea na mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema jukwaa hilo litakuwa likizindua 'badge' za rangi tofauti ili kuzitofautisha akaunti. Tiki ya dhahabu kwa makampuni, tiki ya kijivu kwa serikali, bluu kwa watu binafsi na watu mashuhuri na akaunti zote zilizoidhinishwa zitathibitishwa upya kabla...
  12. Lastmost

    Nini maana ya uchumi wa bluu?

    Wakuu salaam. Naomba kufahamishwa maana ya uchumi wa bluu. Asanteni
  13. Mwanamaji

    Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa: Nini maana ya Uchumi wa bluu, Je, ni muhimu kuhudhuria? Pata shule fupi

    Utangulizi: Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
  14. and 300

    Eti Uchumi wa Bluu!

    Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa buluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele. Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati...
  15. Frumence M Kyauke

    Nyangumi wa bluu, mnyama mwenye uume mrefu zaidi duniani

    Nyangumi wa bluu ana uume mkubwa zaidi katika ufalme wa wanyama. Kwa kawaida inatajwa kuwa na urefu wa wastani wa uume wa mita 2.5 (8 ft 2 in) hadi mita 3 (9.8 ft) na kipenyo cha sentimita 30 (12 in) hadi sentimeta 36 (14 in). Ncha iliyokaushwa ya uume wa nyangumi wa Bluu, Makumbusho ya...
Back
Top Bottom