Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa buluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele.
Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati...