Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga.
Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya waliohudhuria ni Wazee, tena Wazee hasa, yaani Waziri Mkuu ndio miongoni mwa vijana waliopo, sasa...