bob marley

  1. Mshangazi dot com

    Leo katika historia, alizaliwa mkongwe Bob Marley

    Bob Marley alizaliwa tarehe 6 Februari 1945 huko Nine Mile, Saint Ann Parish, Jamaika. Jina lake halisi lilikuwa Robert Nesta Marley. Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji gitaa maarufu wa muziki wa reggae. Katika miaka ya 1970, Bob Marley alikuza umaarufu wake kimataifa kwa nyimbo...
  2. Mshana Jr

    Jumba la makumbusho ya Bob Marley (Bob Marley Museum)

    Bob Marley Museum ni kivutio cha watalii huko Kingston, Jamaica, kinachotolewa kwa mwanamuziki wa reggae Bob Marley. Jumba la makumbusho liko 56 Hope Road, Kingston, na ni mahali pa makazi ya Bob Marley. Ilikuwa nyumbani kwa lebo ya rekodi ya Tuff Gong ya reggae ambayo ilianzishwa na The Wailers...
  3. Logikos

    Jinsi Mpigania Uhuru, Wafanyabiashara wawili, DJ na Mmiliki Bar walivyofanikisha mwaliko wa Bob Marley nchini Zimbabwe kwenye Hafla ya Uhuru 1980

    Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley. Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
  4. nzalendo

    Ambush in the night...by Bob Marley..Maneno bado yanaishi na yanatuhusu...

    Ambush In The Night"....Ishapita miaka 45 toka wimbo huu upigwe na kurekodiwa,,,lakini maneno haya bado yanaishi,,,tena kwa hili wimbi la upepo wa kisiasa kwa sasa,,,utamalizia mwenyewe,,,,,, (Ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!) See them fighting for power (ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!) But they know not...
  5. Logikos

    Haile Selassie said it; Bob Marley Sang it; and everyone with eyes is Seeing it; Might be getting better but there is still Work to be Done...

    Part of Haile Selassie Speech to United Nations 1963 that until the philosophy which holds one race superior and another inferior is finally and permanently discredited and abandoned; that until there are no longer first class and second class citizens of any nation; that until the color of a...
  6. 2 of Amerikaz most wanted

    Bob Marley fought cancer his own way

    His thumb doomed him, Bob Marley tried to defeat cancer his own way and treated it as if it was a cold. Marley's final stage started in 1977, he went to the doctor for an injury on his toe and was told he had stage 3 cancer and then he made his first mistake. He was offered to have his toe...
  7. Librarian 105

    Uraibu wa Bob Marley ina maana ni bora kuliko ulevi wa madaraka wa viongozi wetu?

    Redemption song Zion train African unite Stand up Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa. Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka...
  8. Expensive life

    Nyota ya Michael Jackson imezimika haraka sana baada ya kifo chake tofauti na 2pac, Bob Marley

    Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani. Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley. Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo...
  9. GENTAMYCINE

    Kama huu Utafiti wa Bangi kuwekwa katika Biskuti na Keki ni wa Kweli nahisi nitakuwa nimeitumia kuliko hata Mdau Mkuu Hayati Bob Marley

    Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa Kibaiolojia wa Mwanamke ndiyo tunaupenda kuliko hata Klabu ya Simba SC na Tanzania yangu. Ewe Mwenyezi Mungu...
  10. Sky Eclat

    Bob Marley was once asked if there was a perfect woman

    Bob Marley was once asked if there was a perfect woman. He replies: Who cares about perfection? Even the moon is not perfect, it is full of craters. The sea is incredibly beautiful, but salty and dark in the depths. The sky is always infinite, but often cloudy. So, everything that is...
  11. USSR

    Bob Marley ni mmoja ya wasanii mashuhuri duniani waliopata kuwa na watoto wengi

    Gwiji wa reggae duniani hayati Robert Nesta Marley (Bob) ni moja kati ya wasanii mashuhuri duniani waliopata kuwa na watoto wengi waliowazaa na wanawake tofauti-tofauti. Katika maisha yake Bob alijaaliwa kuwa na familia ya watoto 11 aliowazaa na wanawake 7 tofauti huku wawili kati ya hao akiwa...
  12. BARD AI

    TANZIA Mjukuu wa Bob Marley 'Jo Mersa' afariki dunia akiwa na miaka 31

    Mwanamuziki Joseph "Jo Mersa" Marley, ambaye ni mjukuu wa Mwimbaji Mkongwe wa Reggae Hayati Bob Marley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31, vyombo vya habari vya Marekani viliripoti. Mwakilishi wa Marley mzaliwa wa Jamaika alithibitisha kifo chake kwa kupitia Jarida la Rolling Stone...
  13. Lyrics Master

    Waiting in Vain by Bob Marley

    Idon't wanna wait in vain for your love I don't wanna wait in vain for your love From the very first time I placed my eyes on you, girl My heart says follow through But I know, now, that I'm way down on your line But the waitin' feel is fine So don't treat me like a puppet on a string 'Cause I...
  14. Sky Eclat

    Wazazi wa Bob Marley, wengi hamjawahi kuiona picha hii.

    Born to a British white man Capt Narval Nester Sinclair Marley and a Afro Jamaican lady Cedella Booker Marley.
  15. Sky Eclat

    Bob Marley dated Pascaline Bongo Ondimba. Pascaline is the daughter of Omar

    Bob Marley dated Pascaline Bongo Ondimba. Pascaline is the daughter of Omar Bongo, the former president of Gabon. Omar ran Gabon as an oppressive dictator and he remained in power until his death in 2009. Ninasikia Bob hizi extra marital affairs zilikua zake sana, Rita Marley alivumilia mengi...
  16. M

    40 Years after the death of Bob Marley see how his graves looks like

    Good morning, my readers; today I will discuss the life of a legend who once lived in our world and made a difference. I'll also include photographs of this fascinating legend on this page. I'll publish photos of the stone where he used to rest his head, photos of his burial, photos of the house...
  17. Determinantor

    Weekend Mood: I shot the Sherrif - Bob Marley

    I shot the sheriff, but I did not shoot the deputy I shot the sheriff, but I did not shoot the deputy All around in my home town They're trying to track me down They say they want to bring me in guilty For the killing of a deputy For the life of a deputy, but I say I shot the sheriff, but I...
  18. T

    Ziggy Marley Vs Damian Marley Vs Stephen Marley Vs Kymani Marley Vs Julian Marley who is the best?

    Refer the heading above Kama mnavyojua Bob Marley alikuwa na vipaji viwili hit maker(hakuna atakaye kuja kama yeye mpaka yesu arudi) and footballer na watoto wake 12 wameingia kwenye hivyo vipaji viwili nilivyovitaja mfano Rohan Marley mume wa Lauryn Hill wa Fugees alikuwa famous American...
Back
Top Bottom