bob njagi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njagi asema kukamatwa kwake kulipangwa, atoa wito wa maandamano ya Desemba 9 kuungana na Watanzania

    Mwanaharakati wa Kenya Bob Njagi amefichua kwamba kukamatwa kwake hivi karibuni nchini Uganda, pamoja na mwanaharakati mwenzake Nicholas Oyoo, kulipangwa kwa makusudi. Amesema walikamatwa muda mfupi baada ya kuegesha gari lao katika kituo cha mafuta kinachodaiwa kumilikiwa na Rais William Ruto...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo waachiliwa huru na serikali ya Uganda, baada ya siku 38

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Faith Odhiambo, amewakaribisha wanaharakati Nicholas Oyoo na Bob Njagi, ambao walipatikana usiku wa Alhamisi katika mpaka wa Busia baada ya kutoweka kwa siku 38. Kupitia taarifa aliyotoa katika mtandao wa X, Odhiambo alisema kuwa, kwa kushirikiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…