bob wangwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Butterfly

    LGE2024 Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Maombi yanayoombwa na Waleta maombi ni pamoja na; 1. Mahakama Kutoa ruhusa kwa Waleta maombi kuwasilisha maombi ya kufuta Sheria Ndogo zilizotolewa kupitia matangazo ya serikali Na. 571, 572, 573, na 574 ya tarehe 12/7/2024; 2. Mahakama kutoa ruhusa kwa waleta maombi kuwasilisha maombi ya...
  2. comte

    Pre GE2025 Bob Wangwe: Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais

    "Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais, tumekuwa tukiwabembeleza wanachama wenzetu kugombea Urais akiwemo Dkt Slaa kumekuwepo na 'trends' hiyo kwamba hatujawahi kuwa na watu wenye nguvu sana hasa ya kuleta ushindani na hata nguvu za kuweza kushinda kwenye Urais...
Back
Top Bottom