Maombi yanayoombwa na Waleta maombi ni pamoja na;
1. Mahakama Kutoa ruhusa kwa Waleta maombi kuwasilisha maombi ya kufuta Sheria Ndogo zilizotolewa kupitia matangazo ya serikali Na. 571, 572, 573, na 574 ya tarehe 12/7/2024;
2. Mahakama kutoa ruhusa kwa waleta maombi kuwasilisha maombi ya...
"Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais, tumekuwa tukiwabembeleza wanachama wenzetu kugombea Urais akiwemo Dkt Slaa kumekuwepo na 'trends' hiyo kwamba hatujawahi kuwa na watu wenye nguvu sana hasa ya kuleta ushindani na hata nguvu za kuweza kushinda kwenye Urais...