bobi wine

Robert Kyagulanyi Ssentamu, known by his stage name Bobi Wine, is a Ugandan politician, singer, and actor. He is a former Member of Parliament for Kyadondo County East constituency in Wakiso District, in Uganda's Central Region. He also leads the National Unity Platform political party. In June 2019, he announced his candidacy for the 2021 Ugandan presidential election. He participated in the 2021 election where he lost to the incumbent Yoweri Kaguta Museveni, a result which Kyagulanyi and a large section of the public strongly disputed.On December 14, 2021, he was placed under house arrest by the Government of Uganda. He has continued to protest his arrest.

View More On Wikipedia.org
  1. Bobi Wine: Mtoto wa Museveni anatishia kunichinja, Muhoozi asema Baba yake ndiye anayemzuia kumchukulia hatua

    Mkuu wa Majeshi nchini Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, amesema mtu pekee anayemzuia kumshughulikia Mwanasiasa mashuhuri wa Uganda ambaye pia ni Rais wa NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) ni Baba yake Rais Museveni ambapo...
  2. Bobi Wine atoka Hospitali baada ya madai ya kupigwa Risasi katika mzozo na Maofisa wa Usalama Kampala

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya jana kudaiwa kupigwa risasi katika mzozano na maofisa wa usalama Mji Mkuu wa Kampala. Bobi Wine aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Nsambya ameruhusiwa kutoka leo Jumatano Septemba 4, 2024...
  3. Polisi Uganda: Bobi Wine hakupigwa risasi, alijikwaa

    Polisi nchini Uganda wamekanusha madai kwamba kiongozi wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, alipigwa risasi Jumanne jioni, badala yake, wamesema kwamba kiongozi huyo wa National Unity Platform (NUP) alijeruhiwa wakati akijaribu kuingia kwenye gari lake. Kwa mujibu wa msemaji...
  4. Je, ni lini Marekani itaanza kushughulika na Museveni kama ilivyodeal na Gadaffi mwaka 2011?

    Wakuu habari zenu. Its no longer news kuwa siku ya jana kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine alipigwa risasi ya mguu na vikosi vya usalama vya Uganda. Soma pia: Boby Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi We also know kwamba kwa miaka ya hivi karibuni, mahusiano ya...
  5. Bobi Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

    Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu. Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza...
  6. Mikutano ya Hadhara ya Bobi Wine yasitishwa baada ya kudaiwa kusababisha Vifo

    Inspekta Jenerali wa Jeshi la Police (IGP) Abbas Byakagaba ametangaza kusitisha Mikutano yote ya Hadhara Chama cha Upinzani cha National Unit Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine kutokana Watu wawili kufariki katika Mikutano hiyo Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku mbili tangu kuanza kwa...
  7. Maandamano ya Bobi Wine yazimwa. Wanajeshi wamdhibiti kabla hajatoka nyumbani kwake

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda na aliyekuwa mgombea urais Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amesema kuwa leo Alhamisi polisi walikuwa wamezingira makazi yake na kumweka "chini ya kizuizi cha nyumbani" kabla ya maandamano aliyopanga Wanasiasa wa Upinzani nchini Uganda walikuwa...
  8. Bobi Wine awekwa chini ya Ulinzi nyumbani kwake baada ya kukamatwa Airport

    UGANDA: Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine amewekwa chini ya Ulinzi nyumbani kwake baada ya kukamatwa na Maafisa wa Usalama wakati akirejea kutoka Nje ya Nchi - Taarifa ya kuwekwa chini ya ulinzi inakuja baada Katibu Mkuu...
  9. Bobi Wine kwa Wakenya: Defend your Constitution before it's too week to defend you

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Bobi Wine ambae ni Kiongozi wa Upinza huko Uganda amewatahadharisha Wakenya kuwa Makini na genge la Ruto kupitia wabunge wa chama chake Cha UDA wanaotaka Bunge libadili Katiba ya Nchi hiyo na Kuondoa Ukomo wa Urais wa vipindi vya Miaka 5 na kuweka Ukomo wa umri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…