Wakuu heri ya Christmas, japo kkwangu ilikuwa mbaya.
Huwa Sina tabia ya kutoka usiku sikukuu yoyote ila saa 3 usiku nikapata mwaliko wa pilau mahali Fulani, nkaenda nkala safi, vikaanza vinywaji mdogo kuja kushtuka saa6 na madakika kumpigia boda wangu hapokei mwingine akapokea ila kashalala...